SIRI ZA BIBLIA - podcast cover

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIAwww.sirizabiblia.co.tz
Maarifa ya ki-Mungu na namna ya kuliishi kusudi lako
Last refreshed:
Download Metacast podcast app
Podcasts are better in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episodes

ZABURI 1

Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. 2 Bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku. 3 Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa. 4 Sivyo walivyo wasio haki; Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo. 5 Kwa hiyo wasio haki hawatasimama hukumuni,...

Jan 17, 20221 minSeason 1Ep. 1

FAIDA TANO ZA MAOMBI YA KUFUNGA: SIRI ZA BIBLIA

1. Maombi ya kufunga yanaweza kukufanya uongezeke kiimani. Mathayo 17:21 ‘’ [Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.] ‘’ 2. Macho yako ya ndani yatakuwa yanaona vizuri. Zaburi 119:18 ‘’ Unifumbue macho yangu niyatazame Maajabu yatokayo katika sheria yako. ‘’ . 3. Mwili wako utakuwa umetiishwa. Wakolosai 3:5 ‘’ Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu;‘’ 4. Kupokea maana ni ahadi ya MUNGU kujibu...

Oct 24, 20212 minSeason 1Ep. 3

USHINDE UBAYA KWA WEMA: SIRI ZA BIBLIA

Maisha Mapya Katika Kristo 1 Kwa hiyo, ndugu zangu, nawasihi kwa rehema zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu na inayompendeza Mungu, hii ndiyo ibada yenu yenye maana. 2Msifuatishe tena mfano wa ulimwengu huu, bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu. Ndipo mtaweza kuonja na kuhakikisha ni nini mapenzi ya Mungu yaliyo mema, yanayopendeza machoni pake na ukamilifu. 3 Kwa ajili ya neema niliyopewa nawaambia kila mmoja miongoni mwenu, asijidhanie kuwa bora kuliko impasavyo, b...

Oct 23, 20213 minSeason 2Ep. 1

MADHABAHU KATIKA ULIMWENGU WA ROHO

MAMBO MUHIMU YANAYOUNDA MADHABAHU Mungu wa madhabahu Kuhani wa madhabahu Washirika wa madhabahu Kafara ya madhabahu Nguvu ya madhabahu

Jun 30, 202115 minSeason 1Ep. 1

HUWAPA NGUVU WAZIMIAO - "ISAYA 40:29-31"

28 Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki. 29 Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo. 30 Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka; 31 bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia. #sirizabiblia Youtube/siri za biblia...

Jun 30, 20218 minSeason 1Ep. 1

SIRI ZA BIBLIA: NDOTO NI MLANGO WA KIROHO

Ndoto kwa kawaida ya wanaadamu katika ulimwengu wa mwili ni mambo unaunayoyaona wakati umelala mara nyingi ndoto utaota wakati umelala Aina za ndoto kwa tafsiri za ulimwengu wa kimwili - Ndoto unaota kwa sababu umechoka sana mara nyingi ukiota hivyo watu na wewe mwenyewe unasema kua ni ndoto tu kwa sababu ni uchovu - Ndoto unaota kwa sababu una mawazo kwa kitu kinakufanya ukifikirie sana mfano ajira au mke au mume ukiota mara nyingi unasema ni ndoto tu kwa sababu namuwaza sana au unawaza sana - ...

Jun 25, 20218 minSeason 1Ep. 1

SIRI ZA BIBLIA: SABABU 7 KWANINI UMEOKOKA

Kuokoka ni jambo la lazima sana kwa kila anayehitaji uzima wa milele. Kuokoka kuanza na kumpokea YESU KRISTO kama Mwokozi kisha unaishi ukilitii Neno la MUNGU. Kwanini ni muhimu sana kuokoka? Biblia inasema baada ya kifo hukumu. Waebrania 9:27 ''Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;'' Anayetenda dhambi akifa na dhambi zake anaenda kuzimu. Mteule wa KRISTO mtakatifu akifa anaenda mbinguni. Wanadamu wengi wakionywa kwamba waache dhambi husema wanahukumiwa na huto...

Jun 25, 202112 minSeason 1Ep. 1

SIRI ZA BIBLIA: MSAMAHA

Yesu akasema hivi katika Mathayo 6:12; mnaposali semeni hivi, ...utusamehe deni zetu kama nasi tuwasamehevyo wadeni wetu.... Maandiko yanachomaanisha ni kwamba, ukiwa huna desturi ya kuwasamehe, hata wewe Mungu wa mbinguni hatakusamehe kabisa hata ukitubu kwa machozi ya damu. Kama yumkini unasamehe kwa kiasi, nawe dhambi zako husamehewa kiasi. Mat 6:14 Biblia inasema; "Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi". @sirizabiblia www.sirizabiblia.com +255 758 ...

Jun 25, 20219 minSeason 1Ep. 1

DHAMIRA YA KUIFUTA ISRAEL KWENYE RAMANI YA DUNIA - Sehemu ya PILI

Baada ya vita ya 1948-1949 nchi jirani zilikataa kutambua dola la Israeli. Hali ya vita ikaendelea ingawa bila mapigano kati ya majeshi makubwa. Wanamgambo wa Wafedayin Wapalestina waliendelea kuvuka mpaka kutoka makambi ya wakimbizi na kushambulia vijiji vya Kiyahudi. Wanamgambo hao walipata mara nyingi silaha na mafunzo kutoka kwa majeshi ya Misri na Syria. Vita ya 1948-1949 ilisababisha ghasia na mashambulio dhidi ya Wayahudi walioishi katika nchi za Kiarabu. Nchi kadhaa za Kiarabu ziliweka s...

May 15, 202117 minSeason 1Ep. 2

DHAMIRA YA KUIFUTA ISRAEL KWENYE RAMANI YA DUNIA - Sehemu ya KWANZA

Katika karne ya 19 idadi kubwa ya Wayahudi waliishi katika maeneo kadhaa ya Milki ya Urusi yaliyotwaliwa na milki hiyo mnamo 1800. Uadui dhidi ya Wayahudi ulitokea katika utawala wa Kirusi. Kuanzia mwaka 1880 kulitokea ghasia mbalimbali ambako Wayahudi walishambuliwa katika miji ya Urusi. Wimbi la pili la ghasia hizo zilizoitwa pogromu zilikatokea mwaka 1905, ambapo Wayahudi zaidi ya 2000 waliuawa mjini Odessa . Wakati ule Wayahudi wa Urusi walianza kuhamia nje: wengi wao walikwenda Marekani, la...

May 15, 202112 minSeason 1Ep. 1
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android
Open in Metacast