SIRI ZA BIBLIA: MSAMAHA
Jun 25, 2021•9 min•Season 1Ep. 1
Episode description
Yesu akasema hivi katika Mathayo 6:12; mnaposali semeni hivi, ...utusamehe deni zetu kama nasi tuwasamehevyo wadeni wetu....
Maandiko yanachomaanisha ni kwamba, ukiwa huna desturi ya kuwasamehe, hata wewe Mungu wa mbinguni hatakusamehe kabisa hata ukitubu kwa machozi ya damu. Kama yumkini unasamehe kwa kiasi, nawe dhambi zako husamehewa kiasi.
Mat 6:14 Biblia inasema; "Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi".
@sirizabiblia
+255 758 708 804
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android
Open in Metacast