Kitambaa cha Wife Material Kinanunuliwa Wapi na ni Shilingi Ngapi?
Aug 02, 2022•22 min•Season 1Ep. 3
Episode description
Wiki hii tunazungumzia maswala ya "homemakers" na kama wanawake wanajipa priority kwenye mahusiano ama everything kinafanywa kimfurahishe mwanamume na familia ya mwanamume.
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android
