Mkiolewa Msijiachilie
Kujiachilia inamaanisha nini haswa? Jumuika nasi tufafanue njia tofauti zinzazoashiria kuwa umejiachilia kwenye mahusiano.

Kujiachilia inamaanisha nini haswa? Jumuika nasi tufafanue njia tofauti zinzazoashiria kuwa umejiachilia kwenye mahusiano.
Leo tunakuonya kuhusu madhara ya kufanya biashara na mpenzi wako. Je kuna mipaka unayoeza kueka kuhakikisha hutaadhirika mnapokosana?
Podcast inachunguza kwa undani utata wa "work husbands" na "work wives," ikichambua jinsi mipaka kati ya mwingiliano wa kikazi na binafsi inavyofifia. Inajadili jinsi mahusiano haya yanavyoweza kusababisha uwekezaji wa kihisia, wivu, na hata kuathiri utulivu wa ndoa na fedha, hatimaye ikionya wasikilizaji kuhusu hatari zilizopo katika mahusiano ya ofisini.
Kama una mwanaharakati unayempenda ama wataka kuanza kufanya content kuna vitu muhimu lazima ujue.
Wenyeji wa Swahili Dishes wanachunguza kwa undani mada ya mazingira hatarishi kazini, wakishiriki uzoefu wao binafsi na kueleza ishara kuu za mahali pa kazi penye sumu. Wanajadili jinsi ukosefu wa miundo, unyanyasaji wa kibinafsi, na kutokuwa na usawa wa kazi-maisha unavyoathiri wafanyakazi. Kipindi hiki kinatoa ushauri muhimu juu ya kutambua ishara hizi, kuweka mikakati ya kutoka, na umuhimu wa kutanguliza afya ya akili juu ya kazi.
Kuna mila kwenye familia za uswahilini ambazo zimewezesha wanawake kushughulikia familia zao bila stress.
Mwanaume Mwenye Pesa Anaweza Kua Mwaminifu Kwa Mwanamke Mmoja?
Tumeskia mara nyingi sana kuwa wanaume huwa hawafai kuhurumiwa. Je madhara huwa gani?
Episode hii inaendeleza kipindi cha wiki iliyopita. Je, kama ni mkaka maskini, mambo yatamuendeaje?
Kuna changamoto au faida yoyote kwenye mahusiano kama haya?
Kwenye episode Hii tunachambua mahusiano kati ya davido na mke wake chioma.
Je,umeweka mipaka gani kwenye mahusiano yako?
Kama ni wewe ungefanyaje?
Kwenye episode hii tunampa ushauri dada huyu.
Sikiza hii kabla hujanunua mkorogo.
Skiza kipindi hiki kabla hujajiaibisha kwenye mikahawa mjini.
Tunawapa ushauri dada zetu ambao wamechoka kuteseka kwenye mahusiano.
Kipindi hiki tunaulizana maswali ya kuchangamsha kuhusu utotoni, shule na mahusiano.
Tuangalie maisha ambayo wanamitindo wako unaopenda wanaishi
Mahusiano yanagharimu Pesa siku hizi lakini kwa wale amabao hela hawana, wanatumia mbinu gani kimapenzi.
Kipindi hiki tunachambua vijitabia vinavyomfanya atambulike kama Dume Suruali!
Watu wengi hutumia silent treatment kuadhibiana kwenye mahusiano, lakini madhara yake ni makubwa.
Masaibu ya mpenzi kupata msaidizi bila kujulishwa.
Kuna sheria masharti na mipaka ambayo haipaswi kuvukika kati ya marafiki wawili lakini tuangalie kama inawezekana.
Katika Maswala ya mahusiano na watu ne ya dini yako kuna changamoto gani?
Red flags nyingine hubadilika zikawa kijani,
Jumuika nasi na dada Lina akitusimulia maisha yake kwenye ndoa iliyomdhalilisha nchini Nigeria.
Kwenye kipindi hiki tunachambua sababu tofauti za watu kuanika wapenzi wao mitandaoni.
Kama wadhani upendo bado uko, jitahadhari kaka.
Episode tamu kabisa tunasoma comments za mashabiki wetu plae tiktok!