Huyo ni Mwanaume Insecure
Jitahadhari na mwanaume mwenye tabia hizi!

Jitahadhari na mwanaume mwenye tabia hizi!
Kuna masharti fulani lazima utimize bila kulalamika kama bibi yako ndio kichwa cha nyumba!
Hufika wakati kwenye mahusiano ambapo wahusika hufanyiana vijimadharau vidogo vidogo vya kuudhi badili ya kukata mahusiano na kuachana.
Tunatoa ushauri kwa dada aliyetuma message kuhusu masaibu ya mahusiano yake.
Kuna vijiuongo fulani wanawake wamezoea kusema katika mahusiano. Tuangalie aina kadhaa.
Je Wanaume na wanawake wanaeza kuendeleza urafiki bila mahusiano?
Tunaangalia njia tofauti unaweza kujiaibisha ukiwa kwenye date!
Epiosde hii tunawachanua kaka zetu kwa sababu siku hizi mahusiano yamekuwa kizungumkuti.
Ukiona vyaelea, jua vimeundwa,.Msemo huu hutumika tofauti lakini ukisikia uongo unaotumika na wanaume wengi jua ni kwa sababu unafanya kazi. Episode hii ni onyo kwa wanawake.
Mapenzi yana changamoto lakini mwanamke akiamua kughosti jua kuna issue muhimu ya kuzingatia.
Jumuika nasi tukisoma DMs zetu, nani atakayebahatika na mapenzi ya dhati?
Ushawahi kuekwa parking kwenye mahusiano?
Kulingana na mila na desturi kuna vitu amabavyo havikubaliwi. Ungana nasi kwenye QnA ya kusisimua akili na mbavu!
Kama wewe ni mwanaume unayejaribu kutoka kwa friend zone, tega sikio.
Ushawahi kuona mwanamke anayependwa kwa dhati na mwanaume wake akicheati? Huwa kuna sababu tofauti...
Tujumuike kwenye QnA mambo ni dating episode hii.
QnA session
QnA
Kama bibi arusi mtarajiwa, ungetaka kitchen party aina gani?
Tafuta karatasi na kalamu, darasa limeanza!
Jumuika nasi kwenye mchezo wa maswali na majibu.
Hasira hasara. Mapenzi yahitaji utaratibu fulani spesheli!
Mbali na sura ama hela, kuna vitu fulani wanaume hufanya ambavyo vinavutia sana.
Je kuna umri mwafaka ambao mtu lazima aoe ama aolewe? Na ni lazima mtu aolewe kulingana na matarajio ya jamii?
Tunajua wanawake wamepata ushauri kuhusu kutunza wanaume, tushachoka na mada hiyo na leo tunawapa wanaume ushauri. Tega sikio!
Watu huwa wanachepuka kutumia mbinu tofauti na madhara yake hutegemea na vile mtu anafafanua maana ya kuchepuka.
Kama una marafiki ambao wana sifa kama hizi, jitahadhari!
Kama wapitia haya, jua uko hatarini!
Wakati mwingine familia yako ndio watu wa kwanza wanaokudhalilisha maishani mwako.
Ni muhimu kuweka siri fulani wakati umeanza mahusiano na mtu wakati bado hamjazoeana.