SBS Swahili - SBS Swahili - podcast cover

SBS Swahili - SBS Swahili

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Last refreshed:
Follow this podcast in the Metacast mobile app to refresh it and see new episodes.
Download Metacast podcast app
Podcasts are better in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episodes

Utofauti wa Lugha za Mataifa ya Kwanza

Mtu yeyote mgeni nchini Australia anaweza fahamu umuhimu waku weka hai lugha yako ya mama. Lugha ni muhimu kwa utamaduni wako na lugha za asili za Australia si tofauti, kuwaunga watu na ardhi pamoja na maarifa ya mababu.

Mar 18, 202512 min

Taarifa ya Habari 17 Machi 2025

Waziri Mkuu na kiongozi wa zamani wa chama cha Liberals Malcolm Turnbull, amesema hadhani Australia inastahili endelea mbele na ushirikiano wa AUKUS, ametoa maoni hayo wakati wasiwasi una ongezeka iwapo mkataba huo uta tekelezwa chini ya muhula wa pili wa uongozi wa Trump.

Mar 18, 20256 min

Taarifa ya Habari 14 Machi 2025

Wauguzi na wakunga wanaomba mageuzi ya udhibiti yatakayo waruhusu kuagiza vipimo vya uchunguzi, kutoa rufaa kwa watalaam na kuagiza dawa fulani. Ni hatua mashirika ya kilele yamesema itapunguza muda wakusubiri nakupiga jeki matokeo ya huduma ya afya.

Mar 14, 202518 min

Want to help shape Australia’s future? Here’s how to enrol to vote - Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unaweza jiandikisha kupiga kura

With another federal election due this year, there are steps you will need to take before casting your vote for the first time. Plenty of resources are available to help you enrol to vote and have your say in shaping our nation. - Uchaguzi mwingine wa shirikisho ukitarajiwa mwaka huu, kuna hatua utahitaji chukua kabla yakupiga kura yako kwa mara ya kwanza. Kuna rasilimali nyingi zaku kusaidia kujisajili kupiga kura na kutoa maoni yako katika mustakabali wa nchi yetu.

Mar 14, 20257 min

Taarifa ya Habari 13 Machi 2025

Ripoti mpya ya Chuo cha Monash imeonesha matukio ya unyanyasaji dhidi yawa Islamu wa Australia, yali ongezeka zaidi ya mara mbili kati ya Januari 2023 na Novemba 2024.

Mar 13, 20256 min

Taarifa ya habari 11 Machi 2025

Mamlaka jimboni New South Wales wamesema jibu baada ya kimbunga Alfred lime hamia rasmi katika mwelekeo wa uokoaji. Hakuna onyo za dharura ambazo zimetolewa kwa kuhama.

Mar 11, 202518 min

Taarifa ya Habari 10 Machi 2025

Taarifa za marufiko ya gafla zimetolewa kwa maeneo ya pwani ya New South Wales na Queensland, baada ya tukio la kimbunga cha kitropiki Alfred.

Mar 10, 20257 min

Taarifa ya Habari 7 Machi 2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema ame idhinisha ombi la wanajeshi 120, watakao enda mara moja New South Wales kusaidia katika juhudi zaku kabiliana na Kimbunga Alfred.

Mar 07, 202520 min

Taarifa ya Habari 6 Machi 2025

Ofisi ya utabiri wa hali ya hewa, ime toa taarifa mpya kuhusu wakati kimbunga chaki tropiki Alfred, kina tarajiwa kufika katika nchi kavu.

Mar 06, 20257 min

Taarifa ya Habari 4 Machi 2025

Waziri wa Fedha Katy Gallagher amesema wa Australia wanastahili tarajia bajeti ya shirikisho inayotegemewa, na ambayo itasaidia familia kwa shinikizo za gharama ya maisha.

Mar 04, 202519 min

Taarifa ya Habari 3 Machi 2025

Data ina onesha kuwa soko la nyumba nchini Australia lime ibuka kutoka miezi mitatu ya kudorora, baada ya kupunguzwa kwa kiwango cha riba cha kwanza katika zaidi ya miaka minne hali iliyo inua hisia za wanunuaji.

Mar 03, 20257 min

The AI Election: How artificial intelligence impacted the world's biggest ballots - Uchaguzi wa AI: Jinsi akili bandia ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani

From "Communist Kamala" to Bollywood endorsements, artificial intelligence and disinformation played a big role in some of the biggest democratic elections last year. - Kutoka "Kamala mkomunisti" hadi kwa uidhinishwaji wa Bollywood, akili bandia na taarifa potofu zilikuwa na nafasi kubwa katika chaguzi kubwa zaki demokrasia mwaka jana.

Feb 28, 202511 min

Taarifa ya Habari 28 Februari 2025

Wanasiasa wakuu wa Australia wamesema hatma ya mkataba wenye thamana yama bilioni ya dola na Marekani ume hakikishwa, baada ya Rais Donald Trump kuonekana nikama amesahau jina la mkataba huo wa nchi tatu zinazo jumuisha Uingereza.

Feb 28, 202516 min

Taarifa ya Habari 28 Februari 2025

Kiongozi wa upinzani ame mkosoa waziri mkuu kwa kufeli kuwa wazi kuhusu wakati jeshi la ulinzi lili pewa taarifa kuhusu mazoezi ya China katika Bahari la Tasman.

Feb 27, 20257 min

Taarifa ya Habari 25 Februari 2025

Waziri Mkuu amesema serikali ya shirikisho inapitia bajeti "mstari kwa mstari" kupata jinsi yakuwekeza ahadi yake ya Medicare.

Feb 25, 202520 min

Taarifa ya Habari 24 Februari 2025

Chama cha Matibabu cha Australia (A-M-A) kimesema ni vigumu kujua kama jeki ya uwekezaji wa $8.5 bilioni ya serikali ya Labor, kwa huduma za matibabu bila malipo zita wafikia wanao ihitaji zaidi.

Feb 24, 20256 min

Hezron "Tuwe na mazoea ya kujuliana hali"

Mwenyekiti wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi mjini Sydney, New South Wales Bw Hezron Baranga, ali andaa mkutano maalum wa wanaume wa jumuiya yake kwa lengo lakujuliana hali nakupanga malengo ya mwaka.

Feb 24, 20259 min

Taarifa ya Habari 20 Februari 2025

Mkuu wa shirika la usalama wa ndani nchini Australia ana onya, kuna ongezeko la wimbi la watoto wanao lengwa kutumia maudhui ya itikadi kali mtandaoni, na ame ongezea kuwa makampuni makubwa ya mtandao wakijamii yana nafasi kubwa yaku zuia shughuli hizo, kwa kutumia vifaa vinavyo wezesha bidhaa zao.

Feb 20, 20257 min
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android