SBS Swahili - SBS Swahili - podcast cover

SBS Swahili - SBS Swahili

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Last refreshed:
Follow this podcast in the Metacast mobile app to refresh it and see new episodes.
Download Metacast podcast app
Podcasts are better in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episodes

Taarifa ya Habari 17 Februari 2025

Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na wabunge huru, kama vyama viwili vikubwa nchini havita weza unda serikali ya wengi.

Feb 17, 20258 min

Taarifa ya Habari 13 Februari 2025

Waziri wa Afya wa jimbo la New South Wales, ameomba msamaha jumuiya ya wayahudi baada ya video inayo zungushwa mtandaoni, kuwaonesha wauguzi wawili waliokuwa wakitoa vitisho kwa wagonjwa wenye asili ya Israel.

Feb 13, 20257 min

Taarifa ya Habari 11 Februari 2025

Kundi maarufu la madaktari limezindua mpango mpya kabla ya uchaguzi mkuu, kundi hilo limesema lita hakikisha upatikanaji kwa huduma yama GP kwa bei nafuu kwa kila mtu nchini Australia.

Feb 11, 202518 min

Taarifa ya Habari 10 Februari 2025

Hesabu zina endelea katika chaguzi dogo katika eneo bunge la Werribee ambalo liliwahi kuwa ngome ya chama cha Labor katika vitongoji vya magharibi ya mji wa Melbourne.

Feb 10, 20258 min

Taarifa ya Habari 7 Februari 2025

Serikali ya Wilaya ya Kaskazini ime fikia makubaliano ya thamani yama milioni ya dola na mashirika yawa Australia wa kwanza, kutoa huduma kwa maeneo ya vijijini.

Feb 07, 202519 min

Taarifa ya Habari 6 Februari 2025

Nchi zaki Arabu, Umoja wa Mataifa na washirika wakaribu wa Marekani wamekosoa pendekezo la Donald Trump kuchukua ukanda wa Gaza, naku tawanya wa Palestina kuwa hatua hiyo ita yumbisha kanda hiyo na kudhoufisha juhudi zakupata suluhu ya nchi mbili.

Feb 06, 20257 min

Taarifa ya Habari 4 Februari 2025

Wanasiasa wame ashiria kufunguliwa kwa Bunge la taifa kwa kuhudhuria ibada katika Kanisa laki Katoliki la Mtakatifu Christopher, mjini Canberra leo asubuhi Jummanne 4 Feb 2025.

Feb 04, 202519 min

Taarifa ya Habari 3 Februari 2025

Waziri wa Kigeni Penny Wong amesema vikwazo vipya vya kufadhili ugaidi kwa mtandoa wa kundi lawa neo-Nazi wa mtandaoni kwa jina la Terrorgram, ni sehemu ya hatua za serikali dhidi ya mashambulizi dhidi ya ubaguzi wa wayahudi pamoja na uhalifu wa chuki.

Feb 03, 20257 min

Taarifa ya Habari 31 Januari 2025

Serikali ya shirikisho na Victoria zime tia saini mkataba wa uwekezaji wenye thamani ya dola bilioni $2.5 kwa elimu, ambayo serikali hizo zime sema uwekezaji huo utawasaidia wanafunzi, wafanyakazi pamoja na familia.

Jan 31, 202519 min

Taarifa ya Habari 28 Januari 2025

Mweka hazina wa Shirikisho Jim Chalmers ana amini kuwa takwimu za mfumuko wa bei zitakazo tolewa kesho jumatano, zinaweza wapa wa Australia afueni ya gharama ya maisha wanayo hitaji sana.

Jan 28, 202519 min

Taarifa ya Habari 24 Januari 2025

Mweka hazina Jim Chalmers amesema makato ya ushuru ya serikali yame leta utofauti kwa walipa ushuru, wakati matokeo ya kura ya maoni yanaonesha ongezeko la hali yaku kata tamaa kuhusu afueni ya gharama ya maisha.

Jan 24, 202518 min

What does January 26 mean to Indigenous Australians? - Januari 26 ina maana gani kwa wa Australia wa Asili?

In Australia, January 26 is the national day, but the date is contentious. Many migrants who are new to Australia want to celebrate their new home, but it’s important to understand the full story behind the day. - Nchini Australia, Januari 26 ni siku kuu ya taifa, ila tarehe hiyo ina utata. Wahamiaji wengi ambao ni wageni Australia, hutaka kusherehekea nchi yao mpya ila, ni muhimu kuelewa hadithi kamili kuhusu siku hiyo.

Jan 23, 202510 min

Taarifa ya Habari 21 Januari 2025

Waziri wakigeni Penny Wong amesema Australia ina kesi imara, yakuto jumuishwa katika pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump kutoza ushuru.

Jan 21, 202521 min

Rwanda yatangaza imepata mafuta katika ziwa Kivu

Rwanda imesema Jumatano kuwa imefanya ugunduzi wa mafuta katika Ziwa Kivu, ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika nchi isiyo na bahari katika eneo la Maziwa Makuu, kulingana na vyombo vya habari vya ndani.

Jan 21, 20257 min

Taarifa ya Habari 17 Januari 2025

Kupandishwa cheo kwa wanasiasa wanne wa kike ndani ya baraza la mawaziri wa waziri mkuu, kume fufua mjadala kuhusu uwakilishi wa wanawake ndani ya upinzani wa mseto.

Jan 17, 202517 min
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android