21 Savage afunguka kuhusu Funbase ya Drake Atlanta | App Tracking Transparency ya Apple haijafanikiwa kudhibiti app kutrack watu
Sep 29, 2021•15 min•Season 1Ep. 39
Episode description
Story za Siku:
- Ashanti kumiliki Masters zake zote za Muziki!
- 21 Savage afunguka kuhusu Funbase ya Drake Atlanta
- Mfumo wa Apple wa kuzuia App Tracking haujaweza kuzuia vizuri
- Microsoft imeweka uhuru kwa Third Party App Store kuwepo katika Microsoft Store
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android
