DAKA CODE - podcast cover

DAKA CODE

John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphydaka-code.simplecast.com
Daka Code ni show ya kukupa infos mbalimbali kuhusiana na daily trending stories katika tasnia ya Burudani, Tech na Ubunifu kwa kiswahili. Don't forget to subscribe to get more updates daily!!!
Last refreshed:
Follow this podcast in the Metacast mobile app to refresh it and see new episodes.
Download Metacast podcast app
Podcasts are better in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episodes

Kundi la Sauti Sol imetangaza kuvunjika | Mwanamke wa Kwa wa Kiarabu kwenda nje ya dunia | App 5 za Kamera za Simu

Story za Siku: - Kundi la Sauti Sol limetangaza kuwa litatengana baada ya Tour - Mwanamke wa Kwanza kutoka nje ya Dunia - Samsung imekubali kutumia search engine ya Google kwenye simu zake - Instagram ilikuwa haipatikani - Instagram inatengeneza app ambayo itakuwa inafanana na app ya Twitter - WhatsApp itaweka sehemu ya ku-edit message - Fahamu apps 5 ambazo unaweza kutumia na kamera ya simu yako Shukran kwa wafuatiliaji wote, usisahau ku-follow au Subscribe podcast yetu. Bless up sana.

May 22, 202331 minSeason 2Ep. 7

J Cole ametangaza atatoa Album mpya | Tanzania ipo katika mpango wa kurusha Satelaiti yake | CapCut imeweka Auto-Caption

Story za Siku - Jay Z na Beyonce wamenunua eneo kubwa la kifahari - J Cole ametangaza kuachia album yake mpya ya "The Fall Off" - YouTube itaweka matangazo ya sekunde 30 na kubadilisha mfumo wake wa matangazo - Meta inatengeneza app ambayo itakuwa kama Twitter - ChatGPT imeanza kupatikana kama App kwa watumiaji wa iPhone (iOS) - Twitter imeweka Voice Messages kwenye DM - App ya Adobe imeweka Firefly Video Editor - Auto-caption kwenye CupCut

May 19, 202336 minSeason 2Ep. 6

Desiigner akutwa akichafua kwenye ndege | WhatsApp na Facebook kushirikiana katika matangazo | Kuweka video za High Quality kwenye mitandao ya kijamii

Story za Leo 1. Desiigner amefunguliwa mashtaka baada ya kufanya kitendo cha ajabu kwenye ndege 2. Apple itatoa aina mpya ya kifaa 3. iPadOS na vifaa ambavyo vitaweza kupata updates mwaka huu 4. Google Authentication imebadilisha logo yake 5. WhatsApp kuungana na Facebook katika kuweka matangazo 6. Jinsi ya ku-post video bila kupunguza quality yake Thanks for listening!

Apr 25, 202343 minSeason 2Ep. 2

Davido ameweka rekodi ya dunia | Twitter imerudisha alama ya Blue Check | 6G imeweka historia | Akili Bandia kwenye Sauti

We are back, tumerudi tena katika Season 2 ya Podcast hii. Endelea kupata updates na infos za msingi ambazo zimejiri kwa wiki kupitia Daka Code. Story za Leo 1. Fahamu yaliyojiri kuhusu uzinduzi wa Album mpya ya Davido 2. Twitter imerudisha alama za Verification katika akaunti maarufu 3. iOS 17 itakuwa inaruhusu kuweka apps nje ya App Store 4. BeReal imeungana na app ya Spotify na Apple Music 5. Teknolojia ya 6G imeanza majaribio na China imeweka rekodi ya kihistoria 6. Akili Bandia imeanza kupa...

Apr 24, 202332 minSeason 2Ep. 1

Daka Code - Season 2 (Intro)

Karibuni tena fans wote wa Podcast hii ambayo inalenga kutoa updates mpya zinazohusiana na mambo ya Burudani, Teknolojia na Ubunifu. Daka Code imerudi tena na this time, itakuwa ni nzuri zaidi baada ya kufanyiwa maboresho makubwa katika Audio na Video Podcast. Hii ni Intro yetu na taarifa fupi kwa wafuatiliaji wetu wote. Karibu sana na let's get together katika codes za infos!

Mar 15, 20238 min

WizKid ameweka rekodi nyingine katika mziki wake | Emoji bora zilizotumika sana Mwaka Huu | Template mpya katika TikTok, Cupcut, Videoleap na KineMaster

Story za Siku: - WizKid ameweka rekodi nyingine katika mziki wake - Lil Wayne matatani kwa kudaiwa kumtishia maisha Bodyguard wake - WhatsApp imeweka sehemu ya kuweka message mpya zote katika Disappearing Mode - Google Chrome imeonekana ina madhaifu makubwa - Emoji bora za Mwaka - YouTube tayari imeficha idadi ya Dislikes - Chip mpya ya simu za Android - Template mpya katika TikTok, Cupcut, Videoleap na KineMaster

Dec 06, 202119 minSeason 1Ep. 59
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android