Zahir Gomelo - podcast cover

Zahir Gomelo

Welcome to my world of Positivity is Key to success,we spread positive mind,vibes, life & love, for all of us to achieve one goal that we been struggling with.Here we are going to have diffferent topics on how to achieve ours goals and live our dream life. Put all negitivity away and and stay positive and this channel is gonna help you to achieve that, remember POSITIVITY IS KEY TO SUCCESS.
Last refreshed:
Follow this podcast in the Metacast mobile app to refresh it and see new episodes.
Download Metacast podcast app
Podcasts are better in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episodes

MAMBO YATAKAYO KUZUIA KUFIKIA MALENGO, NDOTO NA MAFANIKIO 2024

Ukamilishaji wa malengo,ndoto uchochea mafanikio ya kila mmoja wetu, ni matokeo ya nidhamu ya hali ya juu, bila nidhamu ya muda wako, pesa zako au marafiki na mengineyo ni ngumu sana kufanikiwa katka malengo na ndoto zako. Kwa kuzingatia hilo 2024 nataka uwe bora kwako, kwa kuanzi kujua vitu au mambo amabyo utufelisha wengine kila mwaka. Na ndo maana kwenye video nitakuelezea mambo yanaweza kukuzuia kufikia malengo, ndoto na mafanikio mwaka huu 2024. Najua kila mwaka uwa tunautaratibu kuweka mal...

Jan 08, 20247 minSeason 1Ep. 1

Unawezaje kutunza/kuweka pesa ukiwa na mshahara wa kawaida?

Kutunza pesa limekuwa ni jambo gumu sana kwa wengi na wengi wamekuwa wakifikri kuwa ili uweze kutunza pesa lazima uwe na mshahara mkubwa au kipato kikubwa sana jambo ambalo si la kweli. Swali ni unawezaji kuweka pesa/fedha ukiwa na mshahara/kipato cha kawaida? "Siyo Kiasi gani chA fedha tunaingiza ndicho kitakachoamua mafanikio yetu bali ni kwa kiasi gani tunaweza kutunza" Hii inafananishwa na tabia ya masikini walio wengi katika kutafuta na kutumia pesa.Masikini hutengeneza fedha kisha huzitapi...

Dec 04, 20227 minEp. 2

Sio Kila Mtu Wa Kumwambia Mawazo/Maono/Ndoto/Malengo Yako.

Sio kila mtu wa kumwambia mawazo/ndoto/malengo yako, kwasababu si kila mtu anaweza kuona kile ambacho wewe unaona.Ni mara ngapi una wazo zuri la Biashara, Podcast, Youtube, na ukimwambia rafiki au mtu wako wa karibu wanalizima kwakukwambia/ kukupa ushauri hasi na kukuonesha kuwa ilo wazo ni ngumu kufanikiwa au hailiwezekani kabisa, kuwa tu mkweli ni mara ngapi hii imekukuta.Mara nyingi right, tena wengine waliokuambia hivyo ni ndugu zako wa karibu kabisa familia na hiyo ndo mbaya zaidi. Albert E...

Jun 03, 20214 minSeason 1Ep. 1
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android