Swahili Tek - podcast cover

Swahili Tek

Karibu katika Podcast ya Swahili Tech ambapo utafahamu mengi kuhusiana na Teknolojia, social media, applications, simu, na vifaa tunavyotumia kila siku katika maisha yetu. Karibu sana na usiache ku-subscribe ili uoate infos kali.
Last refreshed:
Follow this podcast in the Metacast mobile app to refresh it and see new episodes.
Download Metacast podcast app
Podcasts are better in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episodes

Microsoft amefanya maboresho kwenye emails za Outlook

Microsoft ameamua kufanya maboresho kwenye Outlook ili kuweza kupambana na soko la email hasa ukilinganisha Gmail mwaka huu pia ilifanyiwa maboresho na Google katika kuipa nafasi nzuri ya kiushindani katika kipindi hiki ambacho watu Google na Microsoft zinashindana kuhakikisha zinapata watumiaji wengi. Maboresho hayo ni kuzuia "Reply to all" isilete kero endapo ukiwa kwenye email yenye watu wengi; Outlook mails zitaweza kutuma email baadae kutokana na muda utakaopendelea (Send Later option); na ...

May 12, 20207 minSeason 1Ep. 1

Utangulizi

Karibu katika Swahili Tek, Podcast ambayo itakufahamisha mengi kuhusiana na mambo yanayotrend kwenye gadgets, simu, mitandao ya kijamii, na updates za vifaa tunavyotumia kila siku katika shughuli zetu. Hii ni Bonus ya utambulisho na kila siku nitakuwa natoa news na stories ambazo zimetokea mitandaoni.

May 09, 20203 min
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android