SBS Swahili - SBS Swahili - podcast cover

SBS Swahili - SBS Swahili

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Last refreshed:
Follow this podcast in the Metacast mobile app to refresh it and see new episodes.
Download Metacast podcast app
Podcasts are better in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episodes

Taarifa ya Habari 26 Mei 2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema hatua ya Israel kuzuia msaada “hai kubaliki kabisa”. Israel ina ruhusu msaada mdogo wakibinadam kuingia Gaza, baada ya takriban miezi mitatu yaku izuia, hali iliyo sababisha uhaba wa chakula na matibabu.

May 26, 20257 min

Taarifa ya Habari 22 Mei 2025

Kiongozi wa New South Wales, Chris Minns, amesema rasilimali za ziada zinatolewa kwa jumuiya ambazo zime athiriwa kwa mafuriko, katika eneo la kati ya pwaZaidi ya idadi ya watu elfu 48,000 kwa sasa wame tengwa kwa sababu ya maji ya mafuriko.

May 22, 20256 min

Taarifa ya Habari 20 Mei 2025

Jimbo la Victoria lina tarajia kupata ziada yake ya kwanza tangu janga la UVIKO-19, wakati serikali ya Allan itakapo toa bajeti ya jimbo hii leo Jumanne 20 Mei 2025.

May 20, 202518 min

Taarifa ya Habari 16 Mei 2025

Kiongozi wa Upinzani wa Shirikisho Sussan Ley, amesema kuungana tenana wanawake itakuwa kipaumbele chake kama kiongozi wa Upinzani wa shirikisho.

May 16, 202515 min

Taarifa ya Habari 13 Mei 2025

Sussan Ley ame chaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha Liberal. Bi Ley alikuwa Naibu Kiongozi wa chama hicho cha Liberal, alimshinda mpinzani wake mwekahazina kivuli Angus Taylor, katika kura yakumchagua kiongozi mpya muda mfupi ulio pita mjini Canberra.

May 13, 202517 min

Taarifa ya Habari 9 Mei 2025

Anthony Albanese akosolewa kwa kumshasha cheo waziri pekee Muislamu katika baraza lake la mawaziri, wakati vyama vya upinzani vya ongeza juhudi yaku wachagua viongozi wao wapya.

May 09, 202518 min

Taarifa ya Habari 8 Mei 2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema mtazamo wa mhula wa pili wa serikali ya Labor, utakuwa kuimarisha mahusiano na washiriki walio ng’ambo, kuhakikisha utulivu wa kiuchumi nyumbani.

May 08, 20256 min

Taarifa ya Habari 6 Mei 2025

Anthony Albanese ata anza muhula wake wa pili kama Waziri Mkuu akiwa na serikali ya wengi, baada ya ushindi mkubwa wa chama cha Labor, chama chake kilishinda viti 86 bungeni.

May 06, 202516 min

Taarifa ya Habari 2 Mei 2025

Uchambuzi mpya umetabiri Upinzani wa mseto utapitia uzoefu mubaya zaidi wa matokeo katika muda wa miaka 80 katika uchaguzi mkuu wa kesho.

May 02, 202519 min

How to vote in the federal election  - Jinsi ya kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho

On election day the Australian Electoral Commission anticipates one million voters to pass through their voting centres every hour. Voting is compulsory for everyone on the electoral roll, so all Australians should familiarise themselves with the voting process before election day. - Siku ya uchaguzi Tume ya Uchaguzi ya Australia inatarajia wapiga kura milioni moja, watapita katika vituo vya kupiga kura kila saa moja. Ni lazima kupiga kura kwa kila mtu ambaye yuko katika sajili yakupiga kura, kw...

May 01, 202510 min

Taarifa ya Habari 29 Aprili 2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese ana fanya kampeni katika eneo bunge la chama cha Greens la Griffith, chama cha Labor kikiwa na matumaini yakushinda eneo bunge hilo la ndani ya Brisbane.

Apr 29, 202517 min

Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia

Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa. Australia husaidia uvumbuzi na ujasiriamali kupitia miundombinu imara, nguvu kazi yenye ujuzi na mipango ya serikali inayo himiza ukuaji wa biashara ndogo kwa ruzuku, fedha na motisha za kodi.

Apr 29, 202512 min

Taarifa ya Habari 28 Aprili 2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese ametumia ziara katika shirika linalo toa makaazi ya jumuiya katika eneo la Central Coast jimboni, New South Wales kutangaza ahadi ya uchaguzi yenye thamani ya $20 milioni kwa kituo kipya cha kuondoa kiwewe cha wanawake na watoto.

Apr 28, 20256 min

Taarifa ya Habari 22 Aprili 2025

Zaidi ya idadi yawa katoliki milioni 5 nchini Australia wana omboleza, kufuatia kifo cha Papa Francis. Imeripotiwa kuwa Papa alifariki akiwa na miaka 88, baada yaku kumbwa kwa kiharusi na mshtuko wa moyo.

Apr 22, 202518 min

Australia ikoje kwa wahamiaji wenye ulemavu

Katika mwaka wa 2023, Tume ya Kifalme ilipata kuwa watu wenye ulemavu wali kabiliwa kwa visa vya kubaguliwa nakutengwa, pamoja na vurugu, kunyanyaswa na, unyonywaji na kupuuzwa.

Apr 22, 202512 min

Taarifa ya Habari 15 Aprili 2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali madai kuwa sera ya nyumba ya chama chake, ita ongeza bei za nyumba.

Apr 15, 202516 min

Taarifa ya Habari 11 Aprili 2025

Waziri Mkuu amekabiliana na maswali kuhusu uwezekano wa mkataba wa manowari ya Australia na Marekani pamoja na Uingereza, kufuatia utoaji wa ushuru wa Marekani ambao ume tikisa dunia nzima.

Apr 11, 202511 min
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android