Kutembea na Mizimu ya Chimurenga ya Pili ya Zimbabwe
Katika kipindi hiki, Bongani Kona anatembelea tena waasi wa vijijini ili kukomboa nchi yake ya Zimbabwe kutoka kwa utawala wa wazungu katika miaka hii ya 1970. Kona anasema kuwa jinsi maadhimisho ya waliouawa kutokana na vita hivi yanavyofanywa na serikali ya baada ya ukoloni, ni suala linaloathiri masilahi ya walio hai na waliokufa. Hili ni toleo la Kiswahili la podikasti hii. Unaweza pia kusikiliza matoleo katika Kiingereza na Kifaransa . Shukrani Mwandishi : Bongani KonaUhariri wa hati: Sop...
