Sehemu ya Ishirini na Tisa - podcast episode cover

Sehemu ya Ishirini na Tisa

Dec 16, 202015 minSeason 1Ep. 29
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Mambo vipi rafiki?

Karibu kusikiliza sehemu ya Ishirini na tisa ya kipindi cha ONGEA.

ONGEA ni Kijiwe rafiki kwa vijana, wa kike na wa kiume, wanafunzi na wazazi pia.  ONGEA ni tamthilia ya redio inayohusisha maisha ya vijana (katika uhusika tofauti tofauti) wenye Umri wa rika balehe kati ya miaka 15-19 Pamoja na Wazazi/walezi wao.  Vipindi hivi vya Ongea vimeandaliwa na Tume ya kudhibiti ukimwi Tanzania (TACAIDS) na Tume ya kudhibiti ukimwi Zanzibar (ZAC) kwa kushirikiana na UNICEF, pamoja na wadau wengine.  Kipindi cha ONGEA Kinawafikishia vijana taarifa sahihi, Ujumbe sahihi kuhusu VVU/UKIMWI, Afya ya Uzazi, Lishe bora, Stadi za Maisha , Usafi wa Hedhi na Mimba za utotoni.

Usipitwe na uhondo huu.

Ungana nasi katika mitandao ya kijamii

Instagram: https://www.instagram.com/ongearadioprogramme/

Twitter:https://twitter.com/ONGEA_Radio

Facebook: https://web.facebook.com/OngeaRadioProgramme/

TikTok: https://vm.tiktok.com/JjgBxXp/ 

WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/ICZUIJg4qxRFGCIqOZ8RSs

KUMBUKA: #PimaVVU #TumiaKinga #TimizaMalengoYako

For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android