NoticiAudio Kimwani 20.09.2019 - podcast episode cover

NoticiAudio Kimwani 20.09.2019

Sep 20, 201911 min
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Salama djamah piya, karibuni kussikiliza NoticiAudio, habar za Maana mu inty ya Moçambiqui zilaviwa kwa kwavyana na Habar za Kissiassa zitangaziwa na Centro ya Integridade Pública-CIP.

Nafassi ya lelo, tukwanza kuhussu muadja vya zili kuka kazi za kulebelana votu, ncaty ya mpango wa kitondola tcha muezi wa 10 Namuaka.

Kwa nassafi ya pili Habari ulu ndizi:

▪️ Madjeshi wali kuthumika provincia ya Cabo Delgado wankutuala nafassi ya vita wakiphata kuwelila matadjili.

▪️ Likolo la Manuel Chang lilavya nhumba ya Maana ikipeleka kwa likolo la Adriano Maleiane fola wakwamba siyo Hali ya deny sa idjiwanicana.

▪️ Wanu wali na bunduki wassababisha kulumila wanu mu provincia ya Manica.

Landikisse uzuji wa Podcast ema ukurassa wa Telegram na WhatsApp pamodja na ukurassa wa Facebook wa NoticiAudio ili uphathe habazi za mana za inty ya Moçambique, kwa Kila sumana.

Assante Sana, mphaka nafassi Nhenguine

For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android