NoticiAudio Kimwani 06.03.2020 - podcast episode cover

NoticiAudio Kimwani 06.03.2020

Mar 06, 20209 min
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Salama jamah mussikiliza noticiAudio. Karibuni habar za lelo kamba ezi:

▪️Wanu wassimba maali ya pansi bila ruhussa wankweleza kuwepo Njila sa zili za kisharia Ziwahussu wanu wa Sirikali.

▪️CIP yukweleza camba wawapo wanabungue watondoliwe mu  Bungue lla inty na wankupokela nzuluco maali kwenguine, vinu vivundja sharia.

▪️Presidente wa chama RENAMO Ossufo Momade kankuinshi mu hotel kwa nzuluco wa djami za inty za kimataifa.

▪️Kiongozi wa wanu wali kutenda Vita mbele ya chama RENAMO ka katala kupakanila na chama chaque.

Wawoni weleza wa kamba chama FRELIMO yólota futy camba wankutumila nguvu ya wingui ncaty ya Bungue lá inty Moçambiqui.

Landikisse uzuji wa Podcast ema ukurassa wa Telegram na WhatsApp pamodja na ukurassa wa Facebook wa NoticiAudio ili uphathe habazi za mana za inty ya Moçambique, kwa Kila sumana.

Assante Sana, mphaka nafassi Nhenguine

For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android