NoticiAudio Kimwani 05.11.2019 - podcast episode cover

NoticiAudio Kimwani 05.11.2019

Nov 05, 201912 min
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Salama djamah piya, karibuni kussikiliza NoticiAudio, habar za Maana mu inty ya Moçambiqui zilaviwa kwa kwavyana na Habar za Kissiassa zitangaziwa na Centro ya Integridade Pública-CIP.

Nafassi ya lelo, tukwanza kuhussu muadja vya zili kuka kazi za kulebelana votu, ncaty ya mpango wa kitondola tcha muezi wa 10 Namuaka.

Kwa nassafi ya pili Habari ulu ndizi:

▪️ Governu ya inty ya Moçambiqui ikubali futy kulipa deny ya EMATUM.

▪️ Ussowezy kuhussu muanhewe nkukuta ussababishe kulaiwa Anastácio Matavel.

▪️ Empresa ishugulikila kazi za midegue mu inty ya Moçambiqui iperderi milhão za kutimu 25 za dollar pa wakenekeze kuuza midegue

Landikisse uzuji wa Podcast ema ukurassa wa Telegram na WhatsApp pamodja na ukurassa wa Facebook wa NoticiAudio ili uphathe habazi za mana za inty ya Moçambique, kwa Kila sumana.

Assante Sana, mphaka nafassi Nhenguine!

For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android