NoticiAudio Kimuana 31.07.2020 - podcast episode cover

NoticiAudio Kimuana 31.07.2020

Jul 31, 20207 min
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Salama jamah mussikiliza noticiAudio. Karibuni habar za lelo kamba ezi:

▪️Mapulucia wa UIR wamulaya polícia mwenguine wa kazi za municipio.

▪️Mariano Nhongo alalamika kwenguezeka ka kuibihiliwa bazi za wanu wa RENAMO wali na bunduqui.

▪️Kundi la wanainchi linagãniza matumizi a nzulu FMO lukwamba iwapo nafassi ya bancu Credit Suisse kulipa sirikali ya Moçambiqui.

▪️Wawoni wa siassa wankudaili hatuwa ya presidenti Nhusi ya kutowa kufungula majenzi mu província ya Inhambane.

Landikisse uzuji wa Podcast ema ukurassa wa Telegram na WhatsApp pamodja na ukurassa wa Facebook wa NoticiAudio ili uphathe habazi za mana za inty ya Moçambique, kwa Kila sumana.

Assante Sana, mphaka nafassi Nhenguine

For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android