NoticiAudio Kimuana 29.01.2021 - podcast episode cover

NoticiAudio Kimuana 29.01.2021

Jan 31, 20217 min
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Salama jamah mussikiliza noticiAudio. Karibuni habar za lelo kamba ezi:

▪Mamedicu wankulalamika kutowa kuwa na nguvu ngema za kumanissa uluere wa coronavírus.

▪Wassissiwa kazi mapulicia wa Namaacha Ndandu ya rushuwa.

▪Felipe akwamba kundi lishugulikila uchaguzi litende kazi Sana sana, fola wanu wanaganiza hali ya siassa wakwamba avina mana.

▪Ciclone Eliose idangula zaidi na yulaya Kati Kati wa inty ya Moçambiqui.

▪Empresa vale ihukumiwa kuwalipa wakulima wa próvincia ya Tete ndandu ya kwalibu mazawo awo.

Landikisse uzuji wa Podcast ema ukurassa wa Telegram na WhatsApp pamodja na ukurassa wa Facebook wa NoticiAudio ili uphathe habazi za mana za inty ya Moçambique, kwa Kila sumana.

Leia o script em Português  aqui

Assante Sana, mphaka nafassi Nhenguine!

For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android