29 - Tips to Having a Peaceful and Joyful Holiday - podcast episode cover

29 - Tips to Having a Peaceful and Joyful Holiday

Dec 24, 202336 minSeason 2Ep. 9
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Katika kipindi hiki cha sikukuu au likizo, familia nyingi hukusanyika pamoja kwa ajili ya kusherehekea pamoja. Mikusanyiko ya aina yoyote, mara nyingi huwa inapelekea kuwepo kwa ugomvi na tafrani japokuwa malengo ni kuwa na furaha na amani. Tafiti iliyofanyika nchini Marekani, imethibitisha kuwepo kwa ugomvi kati ya ndugu kwenye mikusanyiko hiyo kipindi cha likizo, ambapo asimilia 69 ya wamarekani wamewahi kugombana na ndugu kipindi cha likizo. Japokuwa tafiti hii imefanyika nchini Marekani, bado ni dhahiri kwamba hutokea katika jamii tofauti kwenye bara la Afrika, Tanzania ikiwa moja wapo. Ungana nami katika kipindi hiki upate kujifunza njia mbalimbali ambazo zitakusaidia katika kusherehekea msimu huu wa sikukuu na ndugu zako katika hali ya amani na upendo huku ukijali afya yako ya akili.
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android