28 - Navigating Heartbreak and Healing ft. Fabian Emmanuel (Light Palmer) - podcast episode cover

28 - Navigating Heartbreak and Healing ft. Fabian Emmanuel (Light Palmer)

Dec 09, 20231 hr 6 minSeason 2Ep. 8
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Changamoto za mahusiano ya kimapenzi ni moja ya sababu kubwa inayopelekea vijana wengi kutafuta msaada wa kisaikolojia. Tafiti zimeweza kuthibitisha kwamba watu wenye umri kati ya 18 - 35 ambao hawajaoa wala kuolewa, waliopitia kuvunjika kwa mahusiano yao, waliweza kupata changamoto ya afya ya akili na kupunguza kuridhika na hali yao ya maisha. Katika kipindi hiki nimeungana na Fabian Emmanuel (Light Palmer) tukizungumza kuhusu kuvunjika kwa mahusiano (breakups) na jinsi ya kukabiliana nazo kama vijana huku tukijali afya zetu za akili na kuzingatia utimamu wa kila kitu tunachokifanya ili kufikia malengo yetu binafsi tuliojiwekea maishani.
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android