24 - Ukali na Mipaka Katika Malezi ft. Elisha Thomas - podcast episode cover

24 - Ukali na Mipaka Katika Malezi ft. Elisha Thomas

Oct 13, 202359 minSeason 2Ep. 4
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Katika malezi ya kitanzania, ukali umeonekana kama ndo njia bora zaidi inayosaidia katika kumuweka mtoto katika mstari ulionyooka, na tunasahau kuwa kuna njia nyingi ambazo wazazi wanaweza kutumia katika kuwakuza watoto wao kwenye malezi yaliyo bora. Ungana nami katika kipindi hiki, nikiwa pamoja na Bw. Elisha Thomas tukijadili kuhusu mada hii, na kujifunza zaidi kupitia malezi aliyokulia Bw. Elisha na ambavyo wazazi wake waliweza kuweka usawa kati ya ukali (strictness) na mipaka (boundaries) na kwa jinsi gani imemsaidia yeye katika maisha yake.
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android