14 - Usonji | Autism ft. Hussein Mshunga - podcast episode cover

14 - Usonji | Autism ft. Hussein Mshunga

Apr 14, 202328 minSeason 1Ep. 14
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Mmoja kati ya watoto mia moja (1/100) duniani kote hugundulika kuwa na Usonji. Usonji huwapata wavulana mara nne zaidi kuliko wasichana. Nchini Tanzania, kumekua na elimu ndogo kuhusiana na Usonji na hii kupelekea ubaguzi kwenye baadhi ya familia zenye watoto wenye Usonji. Ungana nasi tunapo angazia ulimwengu wa watu wenye Usonji. Katika episode hii tunaongelea maana ya usonji, jinsi ya kumgundua mtoto anaeonyesha dalili za usonji na kuelezea kiundani zaidi ya jinsi gani mzazi anaweza akamlea mtoto mwenye Usonji huku akijijali pia yeye mwenyewe. Kupitia maswali yatakayo jibiwa na Mwanasaikolojia wa watoto, Bw. Hussein Mshunga, utapata uelewa wa ndani zaidi wa Usonji na jinsi ya kutoa msaada kwa watoto au ndugu wa karibu wenye usonji, ili waweze kutumia utofauti waliokua nao katika kuleta chachu au maendeleo katika jamii.
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android