11 - Maendeleo ya Taaluma ft. Flora Wadutya - podcast episode cover

11 - Maendeleo ya Taaluma ft. Flora Wadutya

Mar 24, 20231 hr 18 minSeason 1Ep. 11
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Maendelo ya Taaluma ni mchakato na sio kitu cha mara moja. Tangia utotoni, tunakuwa na matamanio ya kuwa na taaluma fulani na mara nyingi tunaishia kuwa na taaluma tofauti na tulio tamani utotoni. Vijana wengi nchini Tanzania wanapata changamoto kwenye kuchagua taaluma inayo wafaa, na wengi wao hushawishiwa na wazazi wao kusoma masomo ambayo hawana mapenzi nayo wala kuyaweza. Hii hupelekea hofu, majuto, uzembe pindi wapo chuoni na mara nyingine changamoto ya afya ya akili. Tafadhali ungana nami katika hii episode nikiwa na Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika taaluma ya Saikolojia, Bi. Flora Wadutya akielezea sababu ya yeye kuchagua taaluma husika, changamoto alizopitia wakati anasoma na jinsi alivyozimudu. Akisisitiza zaidi umuhimu wa mwana chuo kujitambua, kujituma, kuwa na mahusiano mazuri na watu na nidhamu katika kukuza taaluma husika.
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android