09 - Sonona | Depression ft. Eric Bunono - podcast episode cover

09 - Sonona | Depression ft. Eric Bunono

Mar 10, 202332 minSeason 1Ep. 9
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Kutokana na utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO), imegundulika kuwa sonona inaongoza kusababisha ulemavu duniani kote. Kutokana na uelewa mdogo wa saikolojia nchini Tanzania imepelekea kwa watu wengi kuchanganya kati ya sonona (depression) na msongo wa mawazo (stress). Ungana nami katika hii episode nikiwa na Mwanasaikolojia na Public Speaker, Bw. Eric Bunono akitofautisha kati ya msongo wa mawazo na sonona na pia kuelezea zaidi kuhusu visababishi vya sonona, dalili zake na jinsi ya kumpa msaada mtu mwenye sonona.
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android