05 - Mgogoro wa Utambulisho | Identity Crisis ft. Mathias Masaka - podcast episode cover

05 - Mgogoro wa Utambulisho | Identity Crisis ft. Mathias Masaka

Feb 11, 202320 minSeason 1Ep. 5
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Watu hupata utambulisho wao kutokana na mambo mengi...inaweza kuwa kile wanachomiliki, maadili au imani zao. Utambulisho (Identity) sio mada mpya, ni mada ambayo ni maarufu sana kwa sababu ina athari kubwa katika maisha yetu. Tafadhali sikiliza jinsi Bw. Mathias Masaka, ambaye ni mwanasaikolojia wa kijamii (social psychologist) na mhadhiri msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alipokuwa akizungumzia mambo muhimu ambayo watu wanapaswa kuyafahamu kuhusu mgogoro wa utambulisho, na huku akisisitiza jinsi mitandao ya kijamii inavyoweza kuwa jukwaa bora la kujifunza na pia tishio kwa hisia zetu za utambulisho.
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android