Mwanaume vs Talaka: Haki au Hadithi? - podcast episode cover

Mwanaume vs Talaka: Haki au Hadithi?

Mar 25, 2025β€’1 hr 38 minβ€’Ep. 98
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Wanasema ndoa ni ndoto, lakini vipi ikiwa inageuka kuwa ndoto mbaya... na unaamka mahakamani? 😬


Kuna hii dhana kwamba mwanaume asiye na pesa nyingi hana haki kwenye talaka, eti unapata tu "pole kaka" na siyo mgawanyo wa mali au haki juu ya watoto wako.Β 


Lakini kweli ipo hivyo? πŸ€”


Katika episode hii ya Men Men Men, tunaketi na wakili Ashiru Lugwisa, anayevunja hii hoja vipande vipande na kutufundisha jinsi ya kutoachika vibaya (kama hiyo inawezekana 🀣).


Sikiliza sasa! Kwanza ujue haki zako, halafu ndio uamue kama unataka ndoa au uwe bachelor wa maisha! πŸ˜…


#MenMenMenPodcast #TalakaNaHaki #UsiachikeVibaya

For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android