Let's keep it real, we need each other (Part 2) - podcast episode cover

Let's keep it real, we need each other (Part 2)

Aug 11, 202243 minEp. 57
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Karibu katika sehemu ya pili ya mazungumzo yetu kuhusu mtoto wa kiume na majukumu yanayomkabili katika dunia inayopambania usawa wa kijinsia.


Baada ya mazungumzo marefu katika sehemu ya kwanza, sehemu hii ya pili inajaribu kuona ni nini kifanyike ili kuweza kuleta huu usawa na nafasi ya mwanaume katika kulifanikisha hili. Lakini pia, je tunahitaji kubadili mbinu tunazotumia au inabidi tuboreshe hizi hizi zilizopo ili wanaume na wao wapate kushiriki kikamilifu?


Rolland Malaba (Madenge) anamalizia sehemu ya pili ya maongezi haya pamoja na watayarishaji wa podcast hii, Michael Baruti na Nadia Ahmed

For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android