Ep 36 - Seemingly perfect? Think again (Part 1) - podcast episode cover

Ep 36 - Seemingly perfect? Think again (Part 1)

Jun 17, 20211 hr 1 minEp. 36
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Look, Princely anaendesha kampuni nzuri inayofanya vizuri kibiashara, kampuni yake ilishinda shindano na wakapata hela nzuri tu ya kumwezesha yeye kuendelea kutimiza ndoto zake. Anaishi kwenye eneo zuri, na ni mtu poa sana. Hawezi kuwa na tatizo, na afya yake ya akili haiwezi kuwa challenged, right? WRONG Ukweli ni kwamba, si mara zote tuonekanavyo nje ndiyo tulivyo kwa ndani. Unaweza onekana kwamba una kila kitu nie, ila bado afya ya akili isiwe katika mahali sahihi. Inakuathiri vipi? Unatambuaje hilo? Unapambana halo kwa namna gani? Haya ni maongezi na Princely Glorious, mwanaume aliyeamua ku-share na sisi experience yake kwenye hili
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android