Ep 34 - To New Hobbies and Trying New Things - podcast episode cover

Ep 34 - To New Hobbies and Trying New Things

Sep 04, 20211 hr 11 minEp. 34
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Hii ni kwa ajili ya kujaribu kufanya vitu vipya, kwa ajili ya kuwa tofauti na zaidi ya yote, ni kwa ajili ya mabadiliko ya afya ya akili ya Mwanaume wa kitanzania Binadamu wengi sana hua tunaridhika na yale tunayoyajua na yale ambayo tumeyazoea. Na mara nyingi huwa tuna hofu kubwa sana ya kujaribu mambo maya aida kwa sababu ya mazoea au kwa kuhofia matokeo ya lile jambo. Lakini, tutawezaje kuwa watu bora na tutawezaje kubadilika kama hatutaki kujaribu mambo mapya? Danny pamoja na Patrick wameamua kuwa tofauti, kwa kufanya vitu ambavyo vina faida kwao na kwa Afya ya akili zao. Funzo kubwa hapa ni kwamba, hakuna ubaya kwenye kufanya vitu tofauti, na vinaweza kukuletea matokeo bora sana kwenye maisha yako. Hii ni kwa ajili ya kujaribu kufanya vitu vipya, kwa ajili ya kuwa tofauti na zaidi ya yote, ni kwa ajili ya mabadiliko ya afya ya akili ya Mwanaume wa kitanzania
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android