Ep 29 - Why men cheat?
Feb 19, 2021•1 hr 13 min•Ep. 29
Episode description
We are back with a million dollar question, Why do men cheat? Kwa walio wengi hili ni swali ambalo bado halijapatiwa jibu. Kwanini wanaume wanakosa uaminifu kwenye mahusiano? Je ni tabia? Ni mapokeo? Ni swala ambalo jamii halijaliongelea kwa undani? Je lina suluhisho?
Michael Baruti pamoja na Nadia, wanazungumza na John (sio jina lake halisi) na kujaribu kuliangalia kwa kirefu hili swala.
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android
