Embracing The Legacy, Creating My Own Path - podcast episode cover

Embracing The Legacy, Creating My Own Path

May 06, 20251 hr 42 minEp. 101
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

“Walking in the shadow of a giant” si jambo rahisi—na inakuwa ngumu zaidi pale “Giant” huyo akiwa  ni Augustine Mahiga, mwanadiplomasia mashuhuri wa Tanzania, na wewe ni mtoto wake wa kiume, unayejulikana kama Andrew Mahiga.


Kwa wengi, jina la mwisho linaweza kufungua milango, lakini je, kila nafasi unayoipata ni kwa sababu ya uwezo wako au kwa sababu unaitwa Mahiga? Hilo ndilo swali ambalo Andrew amekuwa akilazimika kulikabili katika safari yake ya kujitambua.


Katika episode hii ya kipekee ya Men Men Men: The Podcast, Andrew anakaa nasi na kufungua moyo wake kuhusu changamoto za kuishi na jina kubwa, shinikizo la kulingana na hadhi ya baba, na hatimaye furaha aliyopata alipogundua kuwa—ndiyo, yeye ni mtoto wa baba yake, lakini si lazima awe kama baba yake.


Zaidi ya hayo, Andrew anazungumzia kwa kina umuhimu wa mentorship kwa wanaume—na jinsi kuwepo au kutokuwepo kwa wanasihi kunaweza kumjenga au kumvunjilia mbali mwanaume wa Kitanzania.


Baada ya kuisikiliza episode hii, utaelewa kwa nini tumeiita:

 "Embracing the Legacy, Creating My Own Path."

For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android