Baba na mtoto wa kiume - podcast episode cover

Baba na mtoto wa kiume

Oct 05, 20231 hr 11 minEp. 78
--:--
--:--
Download Metacast podcast app
Listen to this episode in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episode description

Kaa tayari kusikiliza mazungumzo mazuri, yenye kufurahisha, kufundisha na kujenga kwenye episode yetu ya 78.


Michael Baruti, na mgeni wetu maalum wa siku ya leo, mtangazaji mashuhuri bwana Harris Kapiga wanazungumza kuhusu dunia ya “u-baba”, na ina maana gani kwa mtoto wa kiume.


Na ndiyo sababu ya mazungumzo ya leo kuitwa “Baba na mtoto wa kiume”.

 

Ni kazi gani ambayo baba inabidi afanye ili aweze kulea mtoto wake wa kiume katika dunia ya sasa?.


Katika maongezi haya Michael na Harris Kapiga ambaye ni baba wa watoto watatu wa kiume wanazungumza na ku-“share” uzoefu wao, busara, ushauri, mafaniko, changamoto, maanguko na upekee wa safari walizopitia na wanazoendelea kupitia wakiwa kama watoto wa kiume, lakini pia wakiwa kama wakina baba wanaolea watoto katika dunia ya sasa yenye mambo mengi sana.

  

Fanya ku-subscribe kwenye ukurasa wetu wa “YouTube” na usikilize na kufurahia mazungumzo haya.

 

Ni mazungumzo muhimu sana kwa kina baba wote, hususani wale wanaolea watoto wa kiume

For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android