MAANA YA NETWORK MARKETING - podcast cover

MAANA YA NETWORK MARKETING

Josias Charlespodcasters.spotify.com
Network Marketing au (Usambazaji wa kimtandao) ni mfumo wa usambazaji wa bidhaa ambao unaruhusu msambazaji aliyekwishajiunga kuunganisha wasambazaji wengine wapya chini yake. Msambazaji mpya akijiunga chini ya msambazaji flani, anakuwa sehemu ya mtandao wa huyo msambazaji wa juu yake. Msambazaji aliyekwishajiunga anaweza akauza bidhaa, na hulipwa mapato kulingana na kiasi cha bidhaa alizouza yeye mwenyewe pamoja na bıdhaa zilizouzwa na wasambazaji waliomo kwenye mitandao wake yaani chini yake. Pia msambazaji anapata faıda kwenye bidhaa alizouza kwa watu wasio wasambazaji. Network Marketing huweza kumtajirisha mtu kwa muda mfupi ikiwa mtu huyo yupo makini na kazi hii.
Last refreshed:
Follow this podcast in the Metacast mobile app to refresh it and see new episodes.
Download Metacast podcast app
Podcasts are better in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episodes

MAANA YA NETWORK MARKETING

Network Marketing au (Usambazaji wa kimtandao) ni mfumo wa usambazaji wa bidhaa ambao unaruhusu msambazaji aliyekwishajiunga kuunganisha wasambazaji wengine wapya chini yake. Msambazaji mpya akijiunga chini ya msambazaji flani, anakuwa sehemu ya mtandao wa huyo msambazaji wa juu yake. Msambazaji aliyekwishajiunga anaweza akauza bidhaa, na hulipwa mapato kulingana na kiasi cha bidhaa alizouza yeye mwenyewe pamoja na bıdhaa zilizouzwa na wasambazaji waliomo kwenye mitandao wake yaani chini yake. P...

Apr 23, 20216 minSeason 1Ep. 1
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android