Laughs and Lessons - podcast cover

Laughs and Lessons

Join his journey to talking alone and with friends. As a young comic, economist, psychology enthusiast and Digital Marketer, McBenvics tries to find laughter in every moment so that's what exactly will be shared here. Life, school, friends, relationship, religion, politics and everything. This might be a slow move, but love the process. Join me on social media as @mcbenvics. Thank you #Tanzania
Last refreshed:
Follow this podcast in the Metacast mobile app to refresh it and see new episodes.
Download Metacast podcast app
Podcasts are better in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episodes

Njia Smart Zaidi Kuanzisha Biashara: Jenga Ukiwa Bado Kwenye Ajira

Watu wengi husubiri waache kazi ndio waanze biashara—lakini hiyo siyo lazima. Katika episode hii ya newsletter, tunakuonyesha jinsi ya kuanzisha biashara kwa njia smart, ukiwa bado kwenye ajira yako ya sasa. ——— Subscribe kwa newsletters na video zaidi zinazokuandaa ku-achieve biashara ya ndoto zako. Download free guide hapa: www.zillim.com Jiunge na community ya Mjasi: linktr.ee/mcbenvics Follow me on socials: Facebook | Instagram | LinkedIn | YouTube | TwitterX @mcbenvics #Zillim #SmartHustle ...

Apr 30, 202532 min

Chagua mteja wako mmoja - Ushatoboa

Unahangaika na biashara haitembei? Tatizo sio bidhaa yako. Tatizo ni hujamchagua mteja wako mmoja wa nguvu . Kwenye video hii, nakufundisha kwa lugha ya mtaa na ujasiriamali jinsi ya kumchagua yule mteja mmoja ambaye akiingia kwenye biashara yako – ushatoboa . Huyu ndiye atakayeleta pesa, ataelewa thamani yako, na atakurudisha kwa wateja wengine. Ukiweza kumserve huyu mmoja vizuri, biashara yako itakuwa na direction, content yako itagusa moyo, na sales zako zitaongezeka. Utajifunza: Jinsi ya kue...

Apr 11, 20259 min

Kwa Nini Personal Branding Ni Siri ya Kupata Wateja Wengi Zaidi

Kwa Nini Personal Branding Ni Muhimu kwa Mafanikio Yako ya Biashara? Unajua kwanini wateja wengine wanakupita hata kama una bidhaa au huduma bora? 🤔 Siri ni Personal Branding! Katika video hii, nitakueleza jinsi ya: ✔️ Kuvutia wateja kwa urahisi ✔️ Kujitofautisha sokoni ✔️ Kujenga uaminifu na uhusiano wa kudumu 📢 Usikose nafasi ya kujifunza zaidi! Jiandikishe kwenye Personal Branding Masterclass yetu sasa na ubadilishe maisha yako ya kitaaluma. 👉 Bonyeza hapa kujiunga: tr.ee/Mm-uvlhK0u 🌟 Per...

Dec 13, 20247 min

Kamuhangire: Mitandao kwa Wafugaji wa kuku na Mayai.

‼️Mjasiliamali au Mwenye Degree unayetaka kutengeneza Brand, kama hauna capital, tutaoartner na wewe kuijenga biashara yako. jiunge nasi www.zillim.com ✅Tuma swali lako info@zillim.com. 💭Swali lililoulizwa: "Je, ninawezaje kutumia kwa ufanisi mitandao ya kijamii Tanzania kuongeza idadi ya wateja wa mayai na kuku, ukizingatia bajeti na mtaji mdogo nilionao kama mkulima mdogo? Je, unaweza kutoa mikakati au vidokezo maalum vya kuunda maudhui yanayovutia yanayoangazia ubora na upekee wa bidhaa zang...

Mar 09, 202420 minSeason 3Ep. 1

Barnabas Nkinga || Psychology and Happiness

Barnabas Nkinga is a professional Psychologist and Wellness Consultant who specializes in mental health and wellness issues from the university of Dar es Salaam!

Apr 28, 202355 minSeason 4Ep. 1

Midweek 02.12.2022

Mac anapiga makelele kuhusu MAREKANI, Ndugu na Mahusiano!

Dec 02, 20221 hr 8 minSeason 2Ep. 17

18.11.2022

Mac na Stivini wanapiga makelele wakitoa yshauri wa kimahusiano!

Nov 18, 20221 hr 8 minSeason 2Ep. 16
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android