Jifunze Kijapani: Masomo ya mazungumzo | NHK WORLD-JAPAN - podcast cover

Jifunze Kijapani: Masomo ya mazungumzo | NHK WORLD-JAPAN

NHK WORLD-JAPANwww3.nhk.or.jp
Jifunze misemo muhimu na kupata ufahamu wa kitamaduni kwa kusikiliza simulizi ya Tam, mwanafunzi wa kimataifa aliyesajiliwa katika chuo kikuu kimoja cha Japani. Shirika la umma la Japani, NHK, linatoa kozi hii ya lugha ya Kijapani kupitia podcast, bila malipo. nhk.jp/lesson

Episodes

For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android
Open in Metacast