Irudie Injili ya Maji na Roho - podcast cover

Irudie Injili ya Maji na Roho

The New Life Missionwww.bjnewlife.org
Nahakika uhasili ndiyo unao amua thamani ya msingi katika vitabu ambavyo si vya hadithi za kufikirika. Hivyo basi vitabu vyetu vyote ni vya asili. Ni vitabu vya kwanza katika kipindi chetu kuweza kuweka bayana juu ya ubatizo wa Yesu kwa Yohana Mbatizaji. Hapo awali hapakuwepo na sikukuu ya Krismasi takriban karne mbili zilizo pita wakati wa Kanisa la mwanzo. Wakristo wa Kanisa la mwanzo pamoja na Mitume wa Yesu waliweza kuadhimisha siku ya Januari 6 kuwa ni siku ya Kubatizwa kwa Yesu katika mto Yordani na Yohana Mbatizaji. Kwanini wali weka msisitizo mkubwa juu ya ubatizo wa Yesu katika imani zao? Vitabu vyetu vinatoa jibu sahihi kwa swali hili. Na jibu lake ndiyo ufunguo halisi katika Ukristo wa Utume wa Hasili. Wazo kuu la vichwa vya habari ni kuingia kwa undani katika siri ya Ubatizo wa Yesu na injili ya maji na Roho. (Yohana 3:5). Si swala la upande mmoja katika Ukristo bali ni kiini kinacho wahusu Wakristo wote. Vichwa vyetu vya habari ni asilimia mia moja (100%) kibiblia na kiuhakika, hivyo kuhamasisha Wakristo wa kawaida kuelekea katika mwamko wa injili ya maji na Roho. Ujumbe wa kitabu hiki utakuwa ni chombo cha masahihisha kwa wale wote wanao tafuta ukweli wa Biblia. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35
Last refreshed:
Follow this podcast in the Metacast mobile app to refresh it and see new episodes.
Download Metacast podcast app
Podcasts are better in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episodes

1. Maana ya Injili halisi ya Kuzaliwa Upya tena (Yohana 3:1-6)

Katika ulimwengu huu wapo wengi wenye kutaka kuzaliwa upya kwa njia ya kumwamini Yesu tu. Hata hivyo ningependa kukwambia awali kwamba kuzaliwa upya si takwa letu, au kwa maneno mengine si jambo ambalo litokanalo na matendo yetu pekee. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35...

Jan 13, 20231 hr 31 minEp. 1

2. Ukristo Bandia na Uzushi Ndani ya Ukristo (Isaya 28:13-14)

Wapo waandishi bandia wa makala nyakati hizi hasa katika nchi zilizoendelea. Hujifanya kuwa waandishi wa makala huku wakiwa na nia ya kujipatia vipato toka kwa walengwa wa makala hizo, kwa kuwatishia kutoboa siri zao. Neno bandia maana yake ni kitu au jambo lenye kuonekana kuwa ni halisi hali si kweli. Kwa maneno mengine, lina maana kwa kitu au jambo ambalo ukweli wake ni tofauti na mwonekano wa nje. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin....

Jan 13, 20231 hr 27 minEp. 2

3. Tohara ya Kweli ya Kiroho (Kutoka 12:43-49)

Maneno ya Mungu katika Agano la Kale na Jipya ni muhimu na yenye thamani kwetu sisi tunaomwamini Mungu. Hatuwezi kupuuzia hata mstari mmoja wa maneno kwakuwa maneno ya Mungu ni maneno ya uzima. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35

Jan 13, 20231 hr 38 minEp. 3

4. Ni Namna Ipi Ya Kufanya Toba Ya Kweli Na Sahihi Kwa Dhambi (1 Yohana 1:9)

1 Yohana 1:9 ipo kwa wenye haki tu. Ikiwa mwenye dhambi hakuwa amekombolewa na kujaribu kupatanishwa na dhambi za kila siku kulingana na maneno yaliyo katika kifungu hicho kwa kutubu makosa yake, dhambi zake hazitofutika. Je, unaelewa ninachojaribu kuelezea? Kifungu hicho katika 1 Yohana 1:9 hakiwi kigezo kwa wenye dhambi ambao hawajazaliwa upya mara ya pili. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35...

Jan 13, 202318 minEp. 4

5. Upotoshaji Uliopo Kwenye Kanuni ya Kujulikana na Kuchaguliwa Tangu Asili (Warumi 8:28-30)

Kanuni ya kitheolojia kuhusu kuchaguliwa toka asili na kuteuliwa, ambazo ni miongoni mwa misingi ya theolojia zinazounda misingi ya Kikristo, zimewapelekea wengi wenye kutaka kumwamini Yesu kushindwa kuelewa Neno la Mungu. Kanuni hizi potofu zimesababisha mkanganyiko mkubwa. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35...

Jan 13, 20231 hr 30 minEp. 5

6. Ukuhani Uliobadilika (Waebrania 7:1-28)

Katika Agano la Kale, palikuwepo na kuhani mkuu aliyeitwa Melkzedeki. Wakati wa Abrahamu, Kedorlaoma na wafalme walishirikiana naye na kutaka vitu vyote vya Sodoma na Gomora. Abrahamu akawapa silaha watumishi wake waliofunzwa, wale waliozaliwa katika nyumba yake na kuwaongoza katika vita dhidi ya Kedorlaoma na washirika wake. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35...

Jan 13, 20231 hr 34 minEp. 6

8. Hebu na Tutende Mapenzi ya Baba Kwa Imani (Mathayo 7:21-23)

Yesu Kristo alisema “Si kila mtu aniambiaye Bwana, Bwana atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; Bali yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.” Maneno haya yameleta woga katika mioyo ya wakristo wengi, hata kuwafanya wahangaike kwa bidii kutenda mapenzi ya Mungu. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35...

Jan 13, 202331 minEp. 8
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android