DAKA CODE - podcast cover

DAKA CODE

John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphydaka-code.simplecast.com
Daka Code ni show ya kukupa infos mbalimbali kuhusiana na daily trending stories katika tasnia ya Burudani, Tech na Ubunifu kwa kiswahili. Don't forget to subscribe to get more updates daily!!!
Last refreshed:
Follow this podcast in the Metacast mobile app to refresh it and see new episodes.
Download Metacast podcast app
Podcasts are better in Metacast mobile app
Don't just listen to podcasts. Learn from them with transcripts, summaries, and chapters for every episode. Skim, search, and bookmark insights. Learn more

Episodes

Kifo cha Michael K. Williams | El Salvador imeanza kutumia Bitcoin | Fahamu kuhusu MegaPixel

Story za Siku: - Kifo cha Michael K. Williams - Diddy ametoa maoni yake kuhusu Album ya Drake na Album ya Kanye West - El Salvador imethibitisha kuanza kutumia Bitcoin kama fedha halali ya malipo - TikTok imezidi kuipita YouTube kwa kuwa na watu wengi wanaotumia muda mwingi kutazama videos - MagSafe Charger mpya - Fahamu kuhusu Megapixel za kamera - Ukipiga picha na watu wengi unaonekana vizuri kuliko picha ya peke yako

Sep 07, 202119 minSeason 1Ep. 26

Soulja Boy amelalamika kuhusu Album ya DONDA | China imepunguza muda wa kucheza games kwa watoto | Jinsi ya kutumia kamera ya simu katika app ya Google

Story za Siku - Soulja Boy amelalamika kuhusu Album ya DONDA - 21 Savage ameingiza faida kubwa katika Streaming Platforms kuliko shows - China imepunguza muda wa watumiaji wenye umri chini ya miaka 18 kucheza video games - WhatsApp imeweka maboresho mapya katika app ya PC na WhatsApp Web - Samsung Galaxy Watch 4 ina Walkie Talkie - Matumizi ya Kamera katika Google BLESS!!!

Aug 31, 202123 minSeason 1Ep. 22

Mr Eazy amezindua PawaPay | Google inailipa Apple ili ipate upendeleo katika search ya Safari

Story za leo: - Mr Eazi ameanzisha mfumo wake wa malipo - PawaPay - Kim Kardashian amegoma kubadili jina - Lil Nas X na Tony Hawk kuhusu kuweka damu zao kwenye bidhaa zao - Instagram kupata comments za "Nah he Twekin" zinazofanana katika posts za Mastaa - FaceID itakuwa inakubali ukivaa Face Mask (Barakoa) - Oppo inataka kutengeneza tablet yake - Google inamlipa Apple ili iwe default search engine katika browser ya Safari.

Aug 26, 202116 minSeason 1Ep. 19

Rick Ross amejibu kuhusu Bifu la Kanye West na Drake | Samsung imefungia TV zilizoibiwa | Xiaomi inaacha kutumia neno la 'Mi'

Story za Siku - Kwanini Drake alimweka Pusha T katika Convo aliyokuwa anamjibu Drake - Rick Ross akielezea kuhusu bifu la Kanye West na Drake - Apple imetimiza miaka 10 chini ya usimamizi wa Tim Cook - Samsung imefungia TV - Xiaomi itaacha kutumia neno la Mi katika brand za simu zake - Facebook kuweka Video Call na Audio Call katika app ya Facebook Bless Up!!!!!

Aug 25, 202116 minSeason 1Ep. 18

Bifu la Drake na Kanye West | Instagram inafuta style ya Swipe-Up | Jinsi ya kutumia simu kuona usiku

Story za Siku - Bifu la Kanye West na Drake - Lil Uzi amesema Kanye West sio pastor wa ukweli - Album mpya kali za mwaka huu - Instagram inafuta mfumo wa Swipe-Up katika kufungua link katika Insta Stories - TikTok imeweka sehemu maalum kwa creators kuweka AR Effects - iPhone ya mwaka huu itakuwa na size ya tofauti katika Camera hump - Jinsi ya Kutumia simu Usiku Bless up!!!

Aug 24, 202115 minSeason 1Ep. 17

Drake anaweza kutumia pesa nyingi Club | WhatsApp kuweka uwezo wa kuhamisha chat Android - iOS | Picha yenye Likes nyingi Instagram

Story za Leo - Ni kiasi gani cha pesa unatumia ukitoka out - NBA Young Boy anatengeneza Album yake Wakati yupo Gerezani - WhatsApp imeweka uwezo wa kuhamisha chats kutoka Android - iOS - Spotify kuweka uwezo wa ku-download music katika Smartwatch zinazotumia WearOS - Apple imebadili mfumo wake wa kutengeneza kamera za iPhone - Picha yenye likes nyingi Instagram

Aug 12, 202119 minSeason 1Ep. 11

50 Cent amemtetea DaBaby | Xiaomi imetoa Roboti mpya | Historia ya Photoshop

Story za Siku: - 50 Cent amemtetea DaBaby - WhatsApp inaweka emoji mpya kwa watumiaji wa Android za Zamani - WhatsApp Web itakuwa na uwezo wa ku-edit picha kabla ya kutuma - Robot mpya wa Xiaomi - Simu mpya za Samsung - Historia ya app ya Adobe Photoshop - Mkanda mrefu wa negative kwa matumizi ya picha

Aug 11, 202119 minSeason 1Ep. 10

Tetesi za Kanye West na Drake kutoa Album | Satelite za Matangazo | Simu ya Kwanza kuwa na Kamera

Story za Siku: - Tetesi za Drake na Kanye West kutoa Album siku moja - WhatsApp kupinga uamuzi wa Apple kuweka mfumo wa kukagua picha - Majaribio ya Satelite ambazo zitakuwa zinaonyesha matangazo muda wa usiku - Mfumo wa HarmonyOS kufikisha watumiaji zaidi ya Milioni 50 - Simu ya kwanza kuwa na kamera Shukran sana kwa kufuatilia Podcast hii na tuendelee kuwa pamoja. DAKA CODE!!!

Aug 09, 202120 minSeason 1Ep. 8

Rihanna kuingia katika list ya maBilionea | Facebook kukusanya taarifa za WhatsApp | Jinsi ya Kutumia simu katika vipimo

Story za Leo: - Rihanna kuingia katika list ya mabilionea - Album ya Donda ya Kanye West inakaribia kutoka - Sakata la Da Baby - WhatsApp kuweka sehemu ya View Once - Facebook kuanza kukusanya taarifa za chats ili kufanya maboresho katika matangazo - Jinsi ya kutumia simu katika vipimo Usisahau ku-SUBSCRIBE Podcast yetu, much thanks for the love. Bless!!!!!

Aug 04, 202118 minSeason 1Ep. 5

Rekodi za WizKid kwenye Muziki wake | Chip Mpya ya Google | Mouse na Bluetooth kwenye Simu

Karibu katika Podcasts ya Daka Code, we back again!!!! Let's discuss some trending stories katika Muziki, Stories za Tech na Matumizi Extra katika kutumia vifaa mbalimbali. Stories za Leo: - WizKid kuweka rekodi katika muziki wake - Card B kuweka rekodi katika YouTube - Instagram was down - Twitter inafuta Twitter Fleets - Google kutambulisha chip yake mpya - Jinsi ya kutumia simu kama Mouse na keyboard Usiache ku-subscribe katika Channel Yetu, feel free kutoa comments na mawazo yako. WELCOME!!!...

Aug 03, 202117 minSeason 1Ep. 4

Tuzo za Grammy | Facebook kuanza kuweka matangazo katika video fupi | Kwanini watu zamani walikuwa wanapiga picha bila ku-smile

1. Fahamu kuhusu yote yaliyotokea kwenye tuzo za Grammy 2021 2. Beyonce kuvunja rekodi ya kuwa na tuzo nyingi za Grammy _________ 3. Facebook imesema itaanza kuweka matangazo katika video za dakika moja. 4. WhatsApp itaacha kufanya kazi katika iPhone zinazotumia iOS9, hivyo itakuwa haifanyi tena kazi katika iPhone 4S 5. Apple itaongeza ukubwa wa Battery katika iPhone ambayo itatoka mwaka huu (2021). __________ 6. Fahamu ni kwanini picha za miaka ya zamani, watu walikuwa hawaonyeshi tabasamu. 7. ...

Mar 15, 202120 minSeason 1Ep. 3

Bruno Mars kushiriki Grammy | Mgunduzi wa Cassette tape Amefariki | Picha iliyotazamwa na watu wengi duniani

Usiache kufahamu EP ya Bruno Mars na Anderson .Paak kushiriki katika Grammy. Fahamu story ya Mgunduzi wa Cassette ambaye amefariki wiki hii akiwa na miaka 94. Katika mazungumzo tumegusia kuhusu historia na miaka ya enzi za Cassette duniani. Katika upande wa Photography tumezungumza kuhusu picha ambayo imetazamwa na watu wengi katika historia. Shukran sana kwa wafuatiliaji na msiache ku-follow show hii ili kupata updates daily. Daka Codeee!!!

Mar 12, 202117 minSeason 1Ep. 2

Kashfa ya Ubaguzi wa Rangi kwa Megan | Picha yenye gharama kubwa | Instagram Lite

Bado story ya familia ya kifalme kuhusika katika ubaguzi wa Megan imeendelea kuchukua sura mpya. Instagram imeweka app ya Instagram Like maalum kwa watumiaji wa simu ambazo hazina uwezo mkubwa katika kuhifadhi files na simu za zamani. Fahamu kuhusu picha iliyowahi kuuzwa kwa thamani kubwa kuliko zote duniani. Usisahau ku-follow channel hii ili kupata more updates!!!

Mar 10, 202115 minSeason 1Ep. 1
For the best experience, listen in Metacast app for iOS or Android