#12 : Utaratibu wa kujifunza biashara ya forex na kuielewa
Je unataka kufaidika kupitia biashara hii kubwa zaidi duniani ?Karibu katika Darasa letu PIGA 0754958520
Je unataka kufaidika kupitia biashara hii kubwa zaidi duniani ?Karibu katika Darasa letu PIGA 0754958520
Indicators ni moja ya vitu ambavyo vinachanganya sana katika forex,katika episode hii tutakupa mbinu sahihi kuhusu indicators
Najua wote tunapenda kutengeza pesa katika forex, lakini changamoto kubwa ni kubadili strategy kila siku, Sikiliza episode hii yote na utajifunza kitu kikubwa sana
Ilinichukua zaidi ya mwaka katika forex kuwithdraw faida ya mara ya kwanza, hii ni kwasababu sikufaham mbinu za kujifunza na kuelewa kwa haraka, Usiwe kama mimi jifunze katika episode hii, WhatsApp 0754958520
Hivi unajua kuwa kuna baadhi ya makosa madogo madogo ambayo yanaweza kukuangusha katika biashara hii , usirudi nyuma tena sikiliza episode hii tena na tena
Pengine una zaidi ya mwaka mzima katika biashara hii lakini hauoni faida yoyote,katika episode hii nimeandaa siri 3 kubwa ambazo zitakutia moyo lkn pia kukufundisha zaidi na kutoka katika shimo hilo
Je unafahamu kuwa kuna mambo ya msingi kabla hujafungua account ya forex ? Twende sawa katika episode hii ya 6 kujifunza zaidi
Broker akiwa ni sehemu ya muhimu katika biashara hii ni vyema kufahamu ni namna gani unaweza kufahamu kama broker ni mzuri au laah
Broker ni kampuni ambazo zinatuwezesha kuweza kushiriki katika soko la forex, bila broker hatuwezi kufanya forex,Nimeelezea wazi namna ya kuwapata brokers hawa na kujiunga katika forex
Mambo 3 ya msingi kabla hujaanza forex ,Hakikisha unasikiliza episode hii na utanishukuru sana
Katika biashara ya forex kuna apps ambazo huwezi kufanya biashara hii bila ya kudownload katika simu yako au COMPUTER
Katika episode hii nimezungumzia maana halisi ya forex, Nimetoa pia ufafanuzi kuhusu njia mbili kubwa ambazo forex inafanyika Nimekutoa wasiwasi kuhusu kutengeneza faida katika biashara Nimeelezea kuhusu ukweli wa kutengeneza pesa katika biashara na unahitaji vitu gani ili kubadili maisha yako kupitia biashara hii Kama una swali lolote wasiliana nasi [email protected] WhatsApp 0754958520